zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Erickb2 wewe ni mwenyekiti mpindua ukiwa bado kwenye serikali yako ya mpito umeanza kujichukulia majukumu yasiyo kuhusu wala kukihusu kiti chako.
..................
........................
..........................Nichukue nafasi hiii kukupa masaa 72 uwe umeniomba radhi kwa kunitafutia mke bil RIDHAAA yangu na kushirikiana nae kufunga ndoa ya kienyeji ambayo mimi mhusika mbila kujua na mnilipe fidia kwa kunidharilisha mbele ya jamiii na kuonekana kana kwamba mimi ni domo zege na siwezi kuchagua vimwana wa kuziba nafasi ya mzazi mwezangu arabela.......

...........fidia mnilipe taslimu sh 5 ya coin....
...........Mnilipe simu aina siemens c 45.......
...............mniletee na njiwa mjane ....
................... la sivyo.....