JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
We ng'ang'ania kumsubiri Mr. Right. Kila mtu unaona hafai. Muda unaenda. Itafika time unatatulia tu na Mr. Available na itakula kwako
0 Reactions
9 Replies
1K Views
WanaJf Naombeni mnisaidie kunipa cheats za GTA ya ps2
0 Reactions
7 Replies
1K Views
mimi weekend yangu ilianzia saa kumi, nimegida wee, sasa nipo home, wakuu yenu ikoje, umekunywa bia ngapi??? Mimi zimenitosha mazee, kupumzika kwanza.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Salaam sana wana cc wote. Nahitaji gari kama hii hapa chini, Naona kama itanifaa kwenye kazi zangu ndogo ndogo za hapa na pale. Napenda mwenye gari kama hii hapa tuwasiliane ili niweze kununua...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Ivi ni kweli wanaume wako polygamous in nature yani huwezi ukawa na mwanamke mmoja?yani kuna cku niko zangu chuo na marafki nn tunadiscuss tu masomo ya darasani..sasa topic ikazuka eti mwanaume...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
1. Ile assignment haitakusanywa leo. 2. Lecturer kasafiri, kipindi hakuna had atakapo rudi. 3. Hiyo kazi mfanye kwa group, sio individual. 4. Hakuna presentation, mkusanye hivyo hivyo. 5. Hii...
2 Reactions
19 Replies
6K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndoto zingine sio za kuota kabisa yaani chozi limenidondoka ndani ya ndoto baada kuona kikojoleo hakipo. Imebidi nipige maombi kwenye ulimwengu wa roho nimemuona zubedayo_mchuzi akiwa ameshika...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Jamaa: hello mrembo ,samahan una mpenzi? Binti: hapana sina mpenzi jamaa: mwanzo 2:18 Bwana Mungu akasema ,si vema huyu mtu awe peke yake nitamfanyia msaidizi wa kufanana nae binti: lakini mimi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
An old man went to the college that he went to when he was a youth. He knocked on room number 3 of the hostel and said: "May I come in. I lived in this very room thirty years ago when I studied...
1 Reactions
0 Replies
980 Views
Hiii ya Mke na Mume kufanania kwa kupendana sana kidogo naikubali ila ya ukitaka kujua uzee wako mtizame Mkwe Kama Mwanaume unamtizama wa Kiume Nomaaaaaaa...
0 Reactions
0 Replies
11K Views
Natafuta rafiki wa kike anae jua kuchat kwa english & swahili
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Holla chit chat pple, Today nimejikuta nimemkumbuka mtu aliyenitumiaga huu wimbo mwaka jana. Leo tangu asubuhi nimekuwa nikiusikiliza kupunguza mawazo huko uliko Chotta Matte...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanawake wa mujini mapenzi yakinoga hata mwanaume ukijamba utasikia" Pole baby, hujaumia kweli....?"
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Sababu 6 kwanini bia ni bora kuliko mwanamke 1. Ukienda baa una uhakika wa kupata bia bila kubembeleza (haina mapozi) 2. Ukiagiza bia ya pili ya kwanza haichukii. (haina wivu) 3. Unapoagiza bia...
0 Reactions
47 Replies
8K Views
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwenzenu jana nimepita Leo Tupo Hapa Pub nikamkuta binti Kaundime kitumbo hicho kimetokekelezea. Mkononi ameshika embe bichi ananimegea. Nilipomuuliza mwenzetu vipi, tena mambo haya,mhusika ni...
12 Reactions
37 Replies
5K Views
Eeee.. hyo mbona inaelewka au unataka ufafanuzi?
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Dogo anaishi Chumba kimoja na wazazi wake, Kaz yake anauza MIWA. Usiku miwa yake anaiweka UVUNGUN. Wazaz ucku wakiwa wanajenga FAMILIA kumbe DOGO hajalala! Akasikia "Ash ash ash ash ash ash"...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom