JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Masai na mwanajeshi walikua wanapigana,masai akarusha mkuki mwanajeshi akaudaka na kuuchomeka mbele yake, mwanajeshi akarusha bomu masai akalidaka na kulitupa mbele yake, so kilichotoke me sijui...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
JOB VACANCY.. Je, unatafuta ajira nzuri inayolipa? 1.Mshahara Tsh 600,000/= kwa mwezi. 2.Mda wa kazi kuingia saa 3 asubuhi hadi saa 10 jioni. 3.Allowance 300,000/= kwa mwezi. 4.Siku za kazi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Juzi nilienda mahitaji yangu ya nyumbani katika shoprite moja nchi ya kigeni, nilihudumiwa na shoga (gay). katika nchi hii wao wameruhusu huo uchafu wa ushoga na lessbian. Nilipolipia mahitaji...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
jaman naomben kukaribishwa na watu wa humu mm ni mgeni humu jf
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Inaonyesha we huwa hufuati maele kezo hata katika mitihani yako tittle inakuambia HAMNA KITU we unafungua, haya umefaidi nini?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kila siku mume wangu anachelewa kulala kisa JF,sasa nimejiunga kufuata nyayo zake,tukilala usiku utasikia anaota anataja taja majina ya watu,mara Lara 1,Madame B,Evnly salt,AshaDii, *WasiWasi ndo...
5 Reactions
53 Replies
4K Views
Katika utafiti nilioufanya safari mbalimbali nimegundua 1.Ni rahisi kumtongoza mwanamke na kulala nae mnapofika eneo mlilokusudia kwenda 2.Pia ni rahisi kwa mwanamke kupata mchumba ndio sababu...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Mimi mgen hum.hodi hodi
0 Reactions
3 Replies
2K Views
An accountant is good in assessing risk. He knows when to make wise investments. So if an accountant chooses to date you, think that you must realy be a good asset worth investing for.
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Duniani 2naishi lakini kuna wa2 hawakuombei mema we cheki: daktari anakuombea upate ugonjwa,POLICE anakuombea uwe mhalifu, HAKIMU anakuombea upate kesi, cha kushanga mwizi pekee ndo anakuombea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Usiku wa kuamkia leo kwa kweli nimeota vibaya sana. Nilijikuta nadondoka kwenye mnazi mkubwa uliolala kwenye bonde kubwa. wakati niko katikati angani nikiwa napiga mayowe nikaona kinakuja kitu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
"Alakushaba kubi omubona emijulile". kipipi KOKUTONA msaada tutani tafadhali.
1 Reactions
64 Replies
7K Views
Siku moja mtoto aliona passport ya kusafiria ya mama yake ambayo baadhi ya detail alizoona ni kama ifuatavyo NAME SALOME DANIEL REGION MWANZA BIRTH 1979 SEX F Baada ya dogo kuona...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna mwanaume alifumaniwa akiwa anazini na mke wa mganga ghafla nyeti za yule jamaa zikapotea yule jamaa akaenda kumuomba yule mganga msamaha alimbembelaza mganga akatozwa hadi faini mganga...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
FILL THE FORM IN OWN HAND WRITING AND IN BLOCK LETTERS. I'm _____________________________________ Hereby applying to marry your daughter Sir. I am _____ years old. Please answer the following...
2 Reactions
13 Replies
7K Views
Kama Binti Hajibu sms zako wala Simu zako Hapokei, Wala usiwaze, Mtumie tu sms Muulize.."Mpenzi Umepata Hela Niliyokutumia??" Halafu sikilizia
0 Reactions
2 Replies
2K Views
utakuta binti ni rafik au mchumba anajua kabisa yeye yuko Tanzania wewe uko Asia/America. Harafu anakukaribisha chakula eti njoo ule .Ambacho naona usanii sasa ni pale anapotaka na yeye...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
habari za asubuhi/mchana/jioni/asubuhi (kutegemea na eneo ulilopo) natumaini ni wazima wa afya , mimi hapa JF nilikua natembelea toka mwaka 2012 mwanzoni kusoma habari za kisiasa nikaja kugundu...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Juha alikuwa anahitaji pesa akaamua kumuomba mungu kwa njia yake mwenyewe akaandika kwenye karatasi (ewe m mungu mimi nahitaji pesa elfu 50) ikisha akaifunga karatsi kwenye bofu akaiwacha iruke...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom