wanawake wa saluni kiboko

wanawake wa saluni kiboko

rafikimkweli

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
349
Reaction score
121
Yaani wakati wanakunawisha baada ya kunyoa , au kufanya masaji, mikono yao kama ina shoti vile, unabaki kusema tuu, aa eee, ndiooo, ee, sawa kabisa, unajibu hata bila kuulizwa mwee, sijui wachawi wale...
 
Ujue hata mamaa akienda kuoshwa miguu ndo hivyo hivyo,
tena wanakuosha kama wanakukuna fulani hivi.
 
aaah......bora saluni zetu zile za zamani za chini ya mti
 

hahahaaaaa!!na sisi huko
kwny kucha usipime,ukioshwa
miguu ndio kabisaaaa we acha tuuu!!
 
Ha ha haaa
Halafu sijaenda tena,
baba yako amesema atakuwa ananiosha miguu yeye;
eti kumbe na wazee wanaonewa wivu, loooh, ha ha haaa.

ndio maana mam kila jumamosi hukosi kutengeneza kucha? naona pale mwenge wamewawekea mpaka na sofas,
 
Ha ha haaa
Halafu sijaenda tena,
baba yako amesema atakuwa ananiosha miguu yeye;
eti kumbe na wazee wanaonewa wivu, loooh, ha ha haaa.
Loh mapenzi yenu yananikosha sana, kumbe mpaka umri huo mam Babu bado anakuonea wivu tu..basi ulikua kigori sana enzi zenu za disko vumbi
 
Nyie hapo juu nye.ge zenu tu,si wanawake si wanaume,yaani kukatwa kucha ndo uhemke?
 
Back
Top Bottom