JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
any gal who want someone to with niko tayar ht mm nahitaj gal wa kuchat nae alie tayar anishtue
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa jinsi usaliti ulivyo kwa kiwango cha juu Siku hizi kwenye ndoa au mapenzi sipati picha ingekuwaje kama kila ukisaliti ndoa au penzi lako unapata kiraka popote mwilini... tena naona kuna wana...
0 Reactions
2 Replies
978 Views
The perfect guy is not the one who has the most money or the most handsome one you'll meet. He is the one who knows how to make you smile and will take care of you each and everyday until the end...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Dah! maisha yanaenda kasi saana! Enzi zetu bhana, Enzi hzo kumpata msichana mpaka uvizie anaenda mtoni au kufua mitoni! Unamtongoza leo anakukubalia mwakani,enzi zetu akikukubalia tu! Mnapanga...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hebu fikiria, tungekuwa tunaisha utamu kadiri tunavyo njunji mara kwa mara. Nadhani kumpata mtu mwenye ladha nzuri hadi tuwatafute shule za msingi, maana watu wakifika chuo, wanakuwa huru...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Mke mwema hutoka kwa mungu mme mwema hutoka benki
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Thread nyingine bwana sometimes zinaboa sana sasa kwa mfano hii Eti Hapa ndio mwisho..!
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Habaar za mjini hapa toka jana zinasema Wema sepetu na Bwana mdogo Daimond wamerudiana Rasmi na inasemekana wapo wote Kuala lumpa Malesia. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nani amekamia kushinda? wanafunzi vs makonda madereva vs trafic ccm vs chadema wapangaji vs landlords lete nyingine kali
0 Reactions
29 Replies
5K Views
ID yake inaanza na herufi el.
1 Reactions
51 Replies
4K Views
Palikuwepo mke & mume ambao walipendana sana, ila hawakuwa na mtoto hatimae wakaamua kumfuga paka kama mwanao. Baadae mke alishika mimba wakapata mtoto, walifurahi na kumlea kwa upendo wote. Siku...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Nilivyojionea watu wa huku wakarimu... Maana huko kwengne nimeona wapo ambao ukipost ukweli tu utawasikia wanaojikuta wajuaji wanaanza kuangalia number of posts and date joined JF
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa wapenzi wa makonde (kavu kavu) http://youtu.be/GtTzI0qjQPw
1 Reactions
3 Replies
1K Views
kama kukaa kimya ni dawa endelea kukaa hivyo hivyo ili umalize DOZI jiulize aliye chora raman ya dunia yeye alkaa wap? eti serikari inatumia brain wananchi tunatumia spinal cord
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Found this somewhere thought I'd share Men marry women who are worth marrying. No man will knowingly marry a slut. If you have been with him for many years and not once has he had a talk...
0 Reactions
0 Replies
854 Views
Mgeeni humu,hodi hodi
0 Reactions
5 Replies
985 Views
Habarini wakuu, naombeni hifadhi humu naitaji kukaribishwa humu kwenye jukwaa la chit-chat nipate kujuzwa mengi yaliyomo humu, nipokeeni mi mgeni katika ili jukwaa.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimeona watu wengi hasa hasa wa bongo wakishafika miaka zaidi ya 30 basi wanaanza kuficha miaka. Ni kutokana na nini hii tabia? Ni aibu au?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanajesh: we ni mtanzania au muhamiaji haramu? Muhamiaji: Mi ni muhamiaji haramu. Mwanajeshi: unatoka nchi gani? Muhamiaji: Canada! Mwanajeshi: kama unatoka Canada we sio haramu,labda ungekuwa...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Kuna dada mmoja alikua antoka kazini mida Kama saa nne na nusu usiku, ghafla njiani akakutana na vijana wanne wa kiume wakampiga makofi na kutaka kumbaka. Yule dada kuona vile ikabid ajiteteee...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom