talentbrain
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,187
- 760
[h=5]Hapa jirani kuna mzee mmoja alimfundisha mwanawe kuendesha gari na baada ya kuhitimu akamuahidi kumpatia gari ya kutembelea kama mwisho wa mwaka atatimiza masharti mawili.
1. Kunyoa nywele zake
2. Kupata daraja B Katika masomo
Kweli mwisho wa mwaka kijana akamfuata mzee na kumuambia
KIJANA; mzee nimepata B kwenye masomo nadhani sasa utanipatia gari.
BABA: hongera mwanangu ila bado hujanyoa nywele kama tulivyokubaliana.
KJANA: Lakini baba hata watu mashuhuri kwenye Biblia walikuwa na nywele ndefu. Kwa mfano Samsoni, Musa na kuna ushahidi wa wazi kuwa hata Yesu alikuwa na nywele ndefu pia kwa hiyo sitanyoa.
BABA: Ila unapaswa kujua pia kuna ushahidi wa wazi kuwa hao wote walikuwa wakitembea kwa miguu....[/h]