Mtumishi wa MUNGU mmoja akiwa
kwenye gari alisimamishwa na Trafic
Police,police
akiwa anahitaji rushwa alianza kuuliza
maswali mengi, mara mbona
gari lako linatoa moshi mwingi? mbona gari...
Tangu BBM iwe imeruhusiwa kwa simu za Android na Iphone, watu wamekuwa wanagawa PIN zao kama pipi. Sasa kama unataka kumjua mwana JF hapa we mvizie tu akigawa PIN yake.
U nataka kunijua mimi...
Jamani,dunia hii,we acha tu!
Nimemtembelea rafiki yangu mmoja {sio mhehe} na akanikaribisha chakula mezani,ambapo kulikuwa na ugali na kuku,na chps na nyama!
Nyama ile ilikuwa inanukia...
Yaani kijana alipata mdada wa kimakonde ,toto limejaziajazia kila kona na amechanja machale uso mzima na pia alikuwa na ndonya ,vyote hivyo vilimpendeza na kumfanya kijana ashindwe kujizuia na...
Kuna vitu visivyoelezeka hunitokea mara kwa mara kama ifuatavyo:
1. Uko ofisini au nyumbani busy kwenye meza yako. Simu iko juu ya meza, na tangu ulipoanza shughuli masaa mawili nyuma, hakuna mtu...
STOP BOASTING . Some are proud of
Blackberry phones,BBM is now even in Techno
phones. Some are proud of ipadtablet
computer not knowing that Secondary students
at Osun State are using it...
Hii mambo imenitokea leo wakati nilipoamua kwenda kulala kwa kale kabinti kangu ka buguruni....sasa baada y kumaliza kugegedana nataka nivae nguo zangu...loh tafuta sana boxer bila...
1. Kwenda haja ndogo na kubwa hovyo...
Hivi huwezi kuwa mstaarabu na kutafuta msala wa karibu walau hata kwenye bars au hata gas stations?
Yaani kuna sehemu ni maarufu kwa watu kumwaga oil zao...
Hiki ni kibwagizo changu ambacho nakitumia sana hapa JF,tatizo ni kwamba baadhi ya watu wangu wa ukweli wananishauri nisiwe nakiandika na wengine wananishauri niendelee kukiandika,sasa niko...
Wakuu ninashukuru Mungu kuanza mwaka mpya katika maisha haya ya shida nyingi na raha kidogo!
Tarehe kama hii 29/10 nilizaliwa
Akchwale najiona nabahati kuendelea kupumua...
wana CC haya tena happy new kwa mara nyingine tena mabestito.
sasa kama isemavyo hapo juu, napenda kuwakumbushia kwamba last time tulipokutana LEO TUPO HAPA PUB tulikubaliana kwamba tutaukaribisha...
MHUDUM;nikuhudumie nn kaka
JAMAA; hebu nipe menu list
MHUDUM; sawa nawewe dada (akimgeukia demu wa jamaa)
DEMU;na mie nipe hiyo menu list lakin usiweke pilipili.....!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.