JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sikuwepo bandugu ila sasa Nipo mjini bukheri wa afya na nguvu tele, nilimmic mno myloving wife Angel Nylon, Natumai wezi wote hawakufua dafu
0 Reactions
0 Replies
648 Views
nimechungulia hili jukwaa kuna watu wanajichukulia wao ndo masista duu,mademu wakali,wengine wanajichukulia wahitimu wa degree ya mapenzi yaani ilimradi kujivika uhusika ambao hana!......
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Nipo Geita,masomoni,likizo ipo karibu hvyo natafuta marafiki wa kuchat nao wakati wa likizo walioko Shytown(Ngokolo) na wale wa Nzega(Bukene). Panapo majaaliwa tunaweza tukakusanyika pia siku...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Morning, Nimefatilia threads mbalimbali humu chit chat, yaan ni kama kulifanyika scrumble and partition. Kila mtu na koloni lake aisee, watu wamefanya effective occupation. Wengine kama Mswati...
4 Reactions
114 Replies
6K Views
Mimi sio mhaya jamani lakini leo nimejisikia kuchenkula kidogo, hepu tuchambue wote kama karanga.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimeipata sehemu na imenipa mawazo. Kimsingi binafsi naunga mkono: Siasa ina uwiano mkubwa sana na ujinga. Ili uwe mwanasiasa mzuri inabidi uwe mchangamfu hata pale unapoumizwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
alikuwa hivi mwanzo kabla ya kukata umeme! katika harakati za ku dry nywele zake ili arudi kwenye kujirusha, masikini kapigwa shoti na hali yake ikawa hiyo hapo! akawa hivi! hahaaaa!!! chezea...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
...Nimecheka sana, hebu cheka na wewe..Mtanzania, Mkenya na Mganda walikamatwa China kwa kukosa vibalì, wakaambiwa wachague adhabu ya kifo au kwenda porini kuleta matunda kumi ya aina moja kila...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Familia ya chit, naombeni muni asili katika familia yenu. Naipenda sana chitchat, naamini nimepokelewa kiroho safi. Waliopo kwenye kampeni nawatakia kila la kheri.
0 Reactions
30 Replies
2K Views
JOB VACANCIES: •Human Resource Officer(10 posts) •IT managers(18 posts) •Telecom engineers(51 posts) •Financial Officer(20 posts) •Marketing Officer(100 posts) •Teachers(510 posts) •Bank...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
:help: Mpaka leo sijawahi kupata "ban" wana chit chat, naomba mnisaidie, nifanye nini ili niweze kupata ban? Naomba mifano, illustrations etc.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani Asprin yuko wapi? Namtafuta sana, kuna kazi ya Taifa naona anaweza kusaidia Nadhani wote mnafatilia soap opera ya ukaguzi wa vyama na kamati ya PAC naona ni kama mambo yamekwama sababu...
7 Reactions
45 Replies
3K Views
Sio kwamba naabudu wazungu ila mara nyingi ukikuta wanawake wa kizungu wanapiga story za kawaida utakuta wanaongelea masuala ya vyakula , afya, mazingira tofauti na hawa wakwetu ambao lao moja...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habarini wana jamviii hope mko poa niwatakie mapumziko mema Allah awatangulie nawapenda nyoteeee
0 Reactions
3 Replies
845 Views
1. Avon 2. Flying Pigeon 3. Hamilton 4. Gazelle 5. Swala 6. ... 7. ... ...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jaman kama kuna m2 anafahamu dawa ya kunenepesha, naomba aniagzie,.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Na kisha mkishakazana kuuperuzi Uzi wangu , mnipe ushauri wenu . Ili iitwe jamii ni lazima pawe na watu wenye silka tofautitofauti . Waungwana , washenzi , wahuni, wezi , mashoga , vibaka ...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Salaam! 1.Huyu yupo katikati ya ngazi kasahau kama anapanda ama anashuka 2.Huyu upo kitandani kasahau kama anataka kulala ama kuamka 3.Huyu chupi ipo magotini kasahau anavaa au anavua 4.Huyu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Unataka mwanamke/msichana akupende na kutokuacha kamwe? Basi fanya yafuatayo: MOSI,Mpe hela, hilo likishndkana, PILI MPE FEDHA, Bado hakupendi? Tatu,aisee toa PESA, nne,MPE hela, na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom