Nimekula nyama ya MBWA: Ni tam hakuna mfano!!!

Weera weraaaa

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
740
Reaction score
657
Jamani,dunia hii,we acha tu!
Nimemtembelea rafiki yangu mmoja {sio mhehe} na akanikaribisha chakula mezani,ambapo kulikuwa na ugali na kuku,na chps na nyama!
Nyama ile ilikuwa inanukia balaa,basi si nikapakua na kuanza kula!
Nilpo maliza,nikamwambia aniongeze nyama,na nikala kama nusu kilo hv!
Jamani ilikuwa tam!
Kumuuliza ni nyama gani,akaniambia ni nyama ya mbwa!
Sikuamin,lakn akanionyesha had mabak ya mkia na kichwa chake!
AISEE!
Nimejilaum kwanini nilikuwa nakosa uhondo siku zote!
Nyama ya kuku,ng'ombe,kiti moto hazioni ndani!
Hakuna kama nyama ya mbwa bhana!!
 
endelea, ukija kupata kichaa cha mbwa usilalamike hatuja kuambia...
 
Kwengineko utakuja karibishwa na kujakuta nyama ni tamu zaidi ya hiyo ya dogi .
Ambapo utakapo uliza ni ya mnyama gani ?
Utaambiwa ni ya Mtu!
Ukiwa bado unatahayuri unaletewa kichwa cha mtu , huku waulizwa :
"Tukufungie na hichi kichwa (kina domo ka'la' diamond) ukakichemshe supu hom?"
Je? Utaondoka nacho?
 
ukala zaidi ya nusu kilo? duh
hiyo njaa yako balaa

mi nina hamu ya nyama ya nyoka,aina ya kifutu..nimeimiss sana
 
Nani kachija?ndo madhara ya watu wengine kuruhusiwa kuchinja ktk mabucha tutauziwa mpaka nyama ya wafu
 
Sasa wewe unasifia mbwa je ungekula nyani si unge pagawa nyani mtamu bwana
 
nyani? nyani kama binadamu tu...huwez ata tamani kumla
bora mbwa nafanana na mbuzi na nyoka kiasi anaendana na samaki
Sasa wewe unasifia mbwa je ungekula nyani si unge pagawa nyani mtamu bwana
 
Kwengineko utakuja karibishwa na kujakuta nyama ni tamu zaidi ya hiyo ya dogi .
Ambapo utakapo uliza ni ya mnyama gani ?
Utaambiwa ni ya Mtu!
Ukiwa bado unatahayuri unaletewa kichwa cha mtu , huku waulizwa :
"Tukufungie na hichi kichwa (kina domo ka'la' diamond) ukakichemshe supu hom?"
Je? Utaondoka nacho?

Mkuu unawaza sana..nimekupa ka like aisee
 
yuckkkkk!:A S-confused1::frusty::frusty::frusty:
 
Jamani,dunia hii,we acha tu!
Nimemtembelea rafiki yangu mmoja {sio mhehe} na akanikaribisha chakula mezani,ambapo kulikuwa na ugali na kuku,na chps na nyama!
Nyama ile ilikuwa inanukia balaa,basi si nikapakua na kuanza kula!
Nilpo maliza,nikamwambia aniongeze nyama,na nikala kama nusu kilo hv!
Jamani ilikuwa tam!
Kumuuliza ni nyama gani,akaniambia ni nyama ya mbwa!
Sikuamin,lakn akanionyesha had mabak ya mkia na kichwa chake!
AISEE!
Nimejilaum kwanini nilikuwa nakosa uhondo siku zote!
Nyama ya kuku,ng'ombe,kiti moto hazioni ndani!
Hakuna kama nyama ya mbwa bhana!!

Umechafua hewa Ngoja nisepe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom