Kwa Nini Hivi Vitu Hutokea? Je, Vimewahi Kukutokea?

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Kuna vitu visivyoelezeka hunitokea mara kwa mara kama ifuatavyo:

1. Uko ofisini au nyumbani busy kwenye meza yako. Simu iko juu ya meza, na tangu ulipoanza shughuli masaa mawili nyuma, hakuna mtu aliyekupigia. Unajisikia kwenda haja. Ile umeondoka unaanza kufungua mlango wa chooni, mara simu inaita na kukufanya utamani kurudi kuisikiliza. Hii ni phenomenon gani? Umeshakutokea?

2. Uko na marafikizako mnapiga stori. Mojawapo ya hizo stori ni kuhusu jamaa mmoja ambaye hamjamwona kwa muda mrefu. Mara kwa mbaali huyo jamaa anakuja kuelekea kikundi chenu!

3. Unatembea barabarani kuelekea mahali, na mara kwenye mawazo yako unaufikiria wimbo fulani uupendao na kuanza kuimba. Unafika kwenye nyumba fulani ambamo unasikia wimbo unaoimba ukiimba kwenye hiyo redio.

4. Uko chumbani mwako unasikiliza taarifa ya habari kwenye tv au redio. Kuna habari imekuvutia unataka kuisikiliza kwa makini lakini ghafla mlango unagongwa kuna mwanafamilia anataka kukueleza kitu!

Najiuliza sana inakuwaje hivi vitu vinatokea? Je na wewe umepata kujiuliza na pengine kupata jibu ama la kisayansi au para-science?

Karibu.
 
Hiyo inaitwa elim ya vitu visivyoonekana au metaphysics. We hujiulizi tai yuko sumbawanga na anaweza jua kuna mnyama anakufa serenget na anaanza safari kuelekea eneo la tukio. Wasomi wanaita INSTINCT ila mimi naimani kbs kuna zaidi ya instinct
Kuna vitu visivyoelezeka hunitokea mara kwa mara kama ifuatavyo:

1. Uko ofisini au nyumbani busy kwenye meza yako. Simu iko juu ya meza, na tangu ulipoanza shughuli masaa mawili nyuma, hakuna mtu aliyekupigia. Unajisikia kwenda haja. Ile umeondoka unaanza kufungua mlango wa chooni, mara simu inaita na kukufanya utamani kurudi kuisikiliza. Hii ni phenomenon gani? Umeshakutokea?

2. Uko na marafikizako mnapiga stori. Mojawapo ya hizo stori ni kuhusu jamaa mmoja ambaye hamjamwona kwa muda mrefu. Mara kwa mbaali huyo jamaa anakuja kuelekea kikundi chenu!

3. Unatembea barabarani kuelekea mahali, na mara kwenye mawazo yako unaufikiria wimbo fulani uupendao na kuanza kuimba. Unafika kwenye nyumba fulani ambamo unasikia wimbo unaoimba ukiimba kwenye hiyo redio.

4. Uko chumbani mwako unasikiliza taarifa ya habari kwenye tv au redio. Kuna habari imekuvutia unataka kuisikiliza kwa makini lakini ghafla mlango unagongwa kuna mwanafamilia anataka kukueleza kitu!

Najiuliza sana inakuwaje hivi vitu vinatokea? Je na wewe umepata kujiuliza na pengine kupata jibu ama la kisayansi au para-science?

Karibu.
 
Hiyo namba 3. mie huwa inanitokea sana.. naweza nikawa naimba wimbo flani kimoyomoyo mara nakutana na mtu anauimba kwa sauti...
 
Hiyo inaitwa elim ya vitu visivyoonekana au metaphysics. We hujiulizi tai yuko sumbawanga na anaweza jua kuna mnyama anakufa serenget na anaanza safari kuelekea eneo la tukio. Wasomi wanaita INSTINCT ila mimi naimani kbs kuna zaidi ya instinct[/QUOTE Jerrymsigwa umegusia mambo ambayo ni tofauti na ninavyoyafahamu.. Umegusia kitu kiitwacho 'instinct'. Instinct najua kwamba ni ile natural reaction ya kiumbe kwenye mazingira fulani. Kama mathalani naimba wimbo fulani halafu akaja mtu mwingine ambaye naye anaimba wimbo huo, hakuna instinct hapo. Pengine ungetaja kitu kiitwacho coincidence ningekubaliana nawe. Hiyo ya tai wa sumbawanga kujua habari ya mzoga ulioko serengeti hiyo kweli ni instinct ila ni ya wanyama na si ya kibinadamu.In any case, asante kwa mchango wako.
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu bana! Kama shansarie alisoma shule ya msingi ya Mrieny, nitamchagua, lakini kama shule ya... Makumbusho... au sijui Olimpio au Manzese Uzuri.... simchagui ng'o!

acha kunibania nipe kura hiyo,
afu nimependa vimacho vyako acha tu
 
Last edited by a moderator:
acha kunibania nipe kura hiyo,
afu nimependa vimacho vyako acha tu
Asante shansarie! kumbe unapenda vimacho vya kizee vya udokozi? Usihofu, nitakupa kura iwapo kiwatengu atanithibitishia umesoma shule ya msingi Mrieny au Lekura, Halafu nikikupa kura kula utanipa lini na wapi?
 
Last edited by a moderator:
Asante shansarie! kumbe unapenda vimacho vya kizee vya udokozi? Usihofu, nitakupa kura iwapo kiwatengu atanithibitishia umesoma shule ya msingi Mrieny au Lekura, Halafu nikikupa kura kula utanipa lini na wapi?

hiyo kula ongea na meneja wangu kiwatengu atakupangia siku na saa.na hizo shule zinahusu ?kwani nagombea umiss lekure
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu bana! Kama shansarie alisoma shule ya msingi ya Mrieny, nitamchagua, lakini kama shule ya... Makumbusho... au sijui Olimpio au Manzese Uzuri.... simchagui ng'o!

Ingia basi kwanza kwenye ule uzi wa kumpendekeza afu umpendekeze kwanza uchaguzi ukianza utaiona historia yake..
muhimu awepo kwenye kinyang'anyiro..
fanya hivyo ndugu yangu
 
Last edited by a moderator:
Hiyo namba 3. mie huwa inanitokea sana.. naweza nikawa naimba wimbo flani kimoyomoyo mara nakutana na mtu anauimba kwa sauti...
Ni kweli sana Baba V. Mie ndo usiseme.
 
Last edited by a moderator:
mm mwenyewe imeshanitokeaga hasa naweza kuimba kimooyo moyo wimbo fulani kisha nikapita mahali nakutana na mwingine anaimba hivyohivyo kwa nguvu sijui kwaniini jamani
 
Back
Top Bottom