MHUDUM;nikuhudumie nn kaka
JAMAA; hebu nipe menu list
MHUDUM; sawa nawewe dada (akimgeukia demu wa jamaa)
DEMU;na mie nipe hiyo menu list lakin usiweke pilipili.....!!!!
hahahahaaaa! kaaaazi kwelikweli.
kuna afande mkuu wa kikosi wakati wa mafunzo ya jeshi akaitisha rokoo. kashika karatasi ya majina imeandikwa FULL NAME theni chini yake kuna majina ya wanakikosi. akaanza kuita
AFANDE: Full Name
WOTE: Yes sir
AFANDE: Samweli Saimon
SAMWELI: Yes sir
.
.
.
.
alipomaliza akasisitiza: Huyu Full Name huyu mwambieni lazima anione. vinginevyo jeshi ataiona ngumu
Tena alikuwa anatamka "furuname"
MHUDUM;nikuhudumie nn kaka
JAMAA; hebu nipe menu list
MHUDUM; sawa nawewe dada (akimgeukia demu wa jamaa)
DEMU;na mie nipe hiyo menu list lakin usiweke pilipili.....!!!!