BBM na true Identity

BBM na true Identity

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,119
Tangu BBM iwe imeruhusiwa kwa simu za Android na Iphone, watu wamekuwa wanagawa PIN zao kama pipi. Sasa kama unataka kumjua mwana JF hapa we mvizie tu akigawa PIN yake.

U nataka kunijua mimi? Omba yangu.........
 
Teh,naomba
 
Lakin uzuri wake ya bbm yanabaki bbm na ya jf yanabaki jf. (What happens in rome stays in rome), wakuu kibao nachat nao kwa bbm even before ikaingia kwa android vile na iOS
 
Jaman nifanyaje na mm niweze kudownload BBM kwenye android phone yangu..mana na I search siipat
 
Haya since what happens in Jamaica stays in Kingstone then my PIN is 7C3D7898
 
Ila me siko huko labda unipe tution jinsi ya kijiunga.nna kitach changu cha mchina
wala usijali, mi nimeingia na kimchina changu ila tu kiwe kinatumia android kuanzia 4.0 na kuendelea au kiwe kinatumia ios kuanzia 6 na kuendelea

Sasa nambie ni android au ios ili nikupe link ya kudownload
 
Back
Top Bottom