Pastor was standing at the door after mass greeting people..
He grabbed Onyango by the hand & pulled him aside...Pastor told Onyango,
"U need 2 join the Army of the Lord!"
Onyango: "I'm already...
Kwamba wewe unaeperuzi hapa , ima uwe Njemba (Me) ama uwe Shori (Ke)
Una mpenzi wako mnaependana sana kwa dhati ya nafsi zenu .
Pamoja na kupendana huko , watambua ktk suala la kumlinda...
Kulikua na kikao cha wazazi kuhusu vijana wetu wanaosoma watu wakachangia ndo ikawa zamu ya mzee mmoja wa kihaya na tulimjua kabila lake kutokana na jina na lafudhi ikawa badala ya kuongea...
UMOMBO WALETA BALAA
Jamaa kaenda sehemu kwenye interview ile kuingia tu chumba Cha interview,
Boss akamwambia" Wait Please''
Jamaa akajibu 75 kg Sir*
CHEZEA UMOMBO WEYE,!!!
Cheki Watoto Wa Tz WalivyoHaribika:
Wazir Wa Ujenz Magufuli,
Alifanya Mkutano Akasema mtu Yeyote
Akijenga Pemben Mwa Barabara hiyo
Nyumba Tutaiwekea X, Akashanga
Watoto Wanashangilia Kwa...
Naomba kuleta mawazo haya kwenu nakumbuka mwaka jana tulikutanisha wana CC pale kebbys naomba mwaka huu tu organiz kitu kama hicho kabla ya Christmas na kifanyike pale escape1 au 2 je mwaonaje...
Mtoto:Baba nikwambie kitu...
Baba:Nilikukataza kuongea wakati wa kula haya nyamaza....
Mtoto:Akaendelea kula mpaka wakamaliza kula...
Baba:Haya sasa sema ulichotaka kuniambia...
Mtoto:Nilitaka...
Ni toleo jingine la JF UDAKU mwezi wa kumi likiwa limesheheni habari motomoto, Kwa hisani ya TANMO , Bishanga na Elizabeth Dominic natiririka kama ifuatavyo...
1.Sakata la madawa ya kulevya...
ukiivuta chini unaumia, ukivuta kwa juu unaumia. ukisema itulie hapo hapo ilipo nasa unaumia. ushaonja maumivu ya zip iliyo nasa kwenye ngozi ya mdudu?. mia
Kwa wale wadada ambao ni biashara Please usikopeshe LOL
A man met a beautiful girl and she agreed to spend a night with him for 200 pounds, they spent the night together. In the morning...
Mchungaji alitangaza kila mtu atoe sadaka kulingana na uzuri wa mke wake...basi watu wakaanza kutoa Mokoyo akatoa 50,000/ Baba V 30,000 Erickb52 10,000 kiwatengu 20,000 mwekundu 100,000...
Wakuu Lugha ni hai ie inazaliwa, inakua na kisha inakufa Tangu nijiunge na JF nimekutana na misamiati ifuatayo (hasa jukwaa la siasa)
kilaza
masaburi
unatoa povu/pofu
kibuda
......
...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.