Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,425
Hii mambo imenitokea leo wakati nilipoamua kwenda kulala kwa kale kabinti kangu ka buguruni....sasa baada y kumaliza kugegedana nataka nivae nguo zangu...loh tafuta sana boxer bila kuionaa...ningefanyaje mie nikavaa suruali yangu acapela mpaka daladalani.mwee!!! si ndio nikakosa kiti tena basi ikikutana na ngozi ya mtu tu kosa..full kudaka netwoek....nimekoma mieeeeeeee ikanibidi niweke mikono mfukoni mpaka nafika gheto...sijui boxer ameificha yule duu aipeleke kwa manyau nyau??? msinicheke mie