Nalog off

Nalog off

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,976
Reaction score
13,435
Hiki ni kibwagizo changu ambacho nakitumia sana hapa JF,tatizo ni kwamba baadhi ya watu wangu wa ukweli wananishauri nisiwe nakiandika na wengine wananishauri niendelee kukiandika,sasa niko kwenye wakati mgumu wa kuchukua maamuzi.
Je,wewe unapendeleaje?

Napendelea ukakojoe ulale...hivi nyie watu wanene kama le mutuz akili zenu zikoje lakini!maswaki gani ya kuuliza hayo mnatujazia server tu hapa
 
hahahahah,huku niliko mimi ndio tunaamka sasa hivi,kwani kila swali lazima ujibu? kama hujalipenda lipotezee,halafu wewe un aumia nini seva ikijaa.
Nalog off

Unaamka kwenda kubeba box..!! Seva ndo nini?
 
Sibebi Box mpaka nakufa,wewe sasa ndio unayeijaza hiyo seva unayoiona ya maana sana kwa kujibu hili swali ambalo unaliona la kipuuzi,bora ukae kimya.
Nalog off

Unabeba matofali basi....kanye ulale bana..nalog off nalog off!! Ka logg off midevu yako hiyo
 
Hii, kitu ya kushinda ukisesema nalogg off husinya si haba. Venye unataka advice, naonelea uavhane nayo kabisaaa, inakufanya ukae ---- flani. Unajua kulog off ni kujitoa kwa mtandao. Sasa kama wewe unadema hivo na still uko online, then what is the essence? Reconsider your stand,,
 
nimepata wakati mgumu kusoma maandishi yako ila nimekuelewa.
Nalog off
 
Hii, kitu ya kushinda ukisesema nalogg off husinya si haba. Venye unataka advice, naonelea uavhane nayo kabisaaa, inakufanya ukae ---- flani. Unajua kulog off ni kujitoa kwa mtandao. Sasa kama wewe unadema hivo na still uko online, then what is the essence? Reconsider your stand,,

Hivi ilikuaje ukanusurika kwenye oparesheni Kimbunga!?
 
Back
Top Bottom