Msiifanye mioyo yenu kuwa migumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msiifanye mioyo yenu kuwa migumu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Nicas Mtei, Mar 12, 2012.

 1. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Mtumishi wa MUNGU mmoja akiwa
  kwenye gari alisimamishwa na Trafic
  Police,police
  akiwa anahitaji rushwa alianza kuuliza
  maswali mengi, mara mbona
  gari lako linatoa moshi mwingi? mbona gari lako matairi yameisha,
  hatimaye polisi akamuamuru padre
  waende nae kituoni.
  Njiani polisi alimuuliza , umesema wewe
  ni Mtumishi wa MUNGU, je unabiblia
  ndani ya gari, akajibu ndio ninayo, polisi akamuambia ,
  pack gari pembeni na unipe biblia.
  Mtumishi akapaki gari na kumpa biblia
  yule polisi,Polisi akasita kupokea,
  akamwambia Mtumishi 'fungua na
  usome Mathayo 5:25-26 "Mtu wa Mungu
  akasoma ":
  "Patana na Mshtaki wako upesi,wakati
  uwapo pamoja naye njiani: yule
  mshtaki asijekukupeleka kwa kadhi na
  kadhi akakupeleka kwa askari,ukatupwa gerezani.
  " Amin nakuambia,Hutoki humo
  kamwe hata uishe kulipa senti ya
  mwisho"
  Mtu wa Mungu akampa yaliyo yake
  kaizari. Polisi akatabasamu na kusema
  'msifanye migumu mioyo yenu"..
  Enenda kwa amani
   
 2. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,208
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  hahaha!
  neno latumika vzr!
   
 3. nelly nely

  nelly nely JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2013
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 669
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hahahaaa
   
 4. LILENDI

  LILENDI JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2013
  Joined: Oct 27, 2013
  Messages: 1,409
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  BIBLIA hiyo hiyo imewaambia wasipokee rushwa. Padre kilaza
   
 5. LILENDI

  LILENDI JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2013
  Joined: Oct 27, 2013
  Messages: 1,409
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  askari kaongozwa na roho mtakafujo teh teh teh
   
 6. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2013
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  rushwa hoyeee
  Nalog off
   
 7. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2013
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Fatmata

  Fatmata Member

  #8
  Oct 29, 2013
  Joined: Jul 22, 2013
  Messages: 66
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  haaa! trafick yuko deep kwenye bible kuliko padre! hahahahahahahaha
   
 9. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2013
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,647
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahahaha jamani hata neno pia?
   
Loading...