JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mvua ilikuwa kali kwelikweli wiki nzima bila kusimama,siku hiyo ilianza kunyesha toka saa 2 asubuhi mpaka saa 4 usiku bado haijasimama,ikabidi jamaa ampigie simu demu wake. JAMAA:habari ya uthiku...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
A:Yaani mie napenda ila sipendwi,aah yaani nimechukia kabisa hadi nimeacha kuoga... B:Yaani mie nakuita hata huitiki,aah yaani nimechukia hadi nimepoteza hela.... C:yaani mie nimeanguka shimoni...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Habari zenu Wana CC??? Kwa kutumiaJF app ama JF mobile version haikubali kupiga kupiga kura kwakuwa ike poll haisapoti. Tumia Desktop version Hatua: 1. Fungu JF kwa kutumia browser (...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Kama wewe ni mwanaume mtanzania na unahisi una mapenzi ya kweli naomba tuwasiliane ili nikuunganishe na huyo binti. Maisha yatakua UK. Vigezo,uwe na umri kati ya 27-35,uwe hujawahi kukutana na...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
  • Closed
Ndugu waungwana wana chit chat salaam.. Naleta hoja hii mbele yenu ili tujadili na kufikia hitimisho la hiki kinachoendelea kwani ni dhahiri kuwa kuna kila dalili za mchezo mchafu unaofanywa...
4 Reactions
60 Replies
4K Views
Hii ilikutwa kwenye mtihani alofanya mtoto wa kihindi wakati akijibu maswali ya methali swali; bandu bandu..... Jibu: Iko dugu yake patel iko nakaa bombay swali: Mtaka cha uvunguni...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Konokono wote ni "Hermaphrodites" Kwa maana wanamiliki jinsia mbili (kiume na kike). Kwenye kujamiiana wanaviziana, atakayeruhusu kupandwa ndiye atataga mayai. Fikiria binadamu tungekuwa kama...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
Wiki kadhaa zilizopita baada ya Arsenal kupigwa na Chelsea, akina dada walilalamika kuwa waume zao hutoka na stress za mpira hadi nyumbani, halafu wanawanyima........kuna hatihati leo wakanyimwa...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Put TWO commas and a Full stop into the following sentence A WOMAN WITHOUT HER MAN IS NOTHING
0 Reactions
0 Replies
706 Views
katika pitapita zangu nimekutana na hii zaburi.Nilipouliza nikaambiwa ni maarufu sana pale LEO TUPO HAPA PUB....hasa siku za mwisho wa juma.... Pombe ndiye mchungaji wangu sitapunguwa na pesa...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Wakuu its not meant to be a humorous thread ila kiukweli tangu nianze kula wali aisee hakuna kitu nakikubali kama ukoko. Kabla ya yote kuna aina kuu mbili za ukoko, wa juu na wa chini. Hapa...
8 Reactions
111 Replies
23K Views
Me namshukuru Mungu kwa wale wote walionitia nguvu na kunipa moyo kwa magumu ninayopata,Mungu awabariki sana,leo nimeamka vizuri tu,ushauri wenu umenifanya niwe na amani,kwa aliye mpweke tunaweza...
0 Reactions
12 Replies
975 Views
Baada yakuona mwanamke nimpendae kabadilika gafla,nikimuuliza ananijibu Baby we haunijali.Ikabidi niende kwa shemej yangu(Dadaake) kupata ushauli, na huu ndo ushauli alionipa Shemeji kweli...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
jamani mm mgeni humu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Eti jenerali wa jeshi la marekani alitembelea China akapelekwa kambi moja ya jeshi. Akiongea kiingereza na jenerali wa kichina anawatafsiria askari wake kwa kichina. Baada ya kuhutubia mambo rasmi...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimewakumbuka sana wana jamvi hope mko poa na mnaendelea na majukumu zenu za kila siku nichukue nafasi hii kuwapa pole wale wote waliopoteza wapendwa wao na wale wote walifikwa na magonjwa tofauti...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Closed
Nmepigwa na bumbuazi baada ya kuona Ruhazwe JR kaingia mitini. Alisema tupendekeze majina tukapendekeza, baada ya kuona Arabela amekuja kwa kasi baada ya kujikusanyia kura nyingi kaamua kuingia...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…