thadei kimambo
JF-Expert Member
- Jan 31, 2013
- 220
- 126
Vodacom wamerahisisha tena: Sasa unaweza kupima uzito wako kwa kutumia simu yako ya mkononi,cha kufanya bonyeza *15400# kisha simama juu ya simu yako utaona uzito wako kwa kiwango cha kilogramu.