Donpela
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 2,040
- 592
UKiwa umechagua forum apo mbele kwenye web page,,,kuna tangazo la ndovu special malt la jishindie safari ya selous,,,daaahh kila nikimuona uyo myama tembo,,naikumbuka serikali,,napatwa jazba
..ivi hii nchi kila kitu tumeumizwa na serikali,,maana kila ukigusa kitu,,unaikumbuka serikali...
nawasilisha:frown:
..ivi hii nchi kila kitu tumeumizwa na serikali,,maana kila ukigusa kitu,,unaikumbuka serikali...
nawasilisha:frown: