Haya sasa ni mateso bila chuki

Haya sasa ni mateso bila chuki

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Habari zenyu binafsi....

Mwenzenu mie siku hizi sipati usingizi, hapa yaelekea saa nzima nahesabu matundu ya chandarua, hivi ni kwanini???? Kwanini sipati usingizi kama awali???? Huyo aliyenipokonya usingizi wangu nikimtambua walahi namgeuza mjusi kafiri au kenge...

Khaaaaaa..... Hivi kuna mtu ana tatizo kama langu!???? Nahisi hata kupungua now days lol!!!!!!

Msaada wadau.....
 
Hahahaaaa.... Mkuu mbona swali la kizushi? any way am single!!!
Hapana sio la kizushi nipo katika jitihada za kutaka kukusaidia,sasa fanya hivi tafuta mtu ambaye atakuwa anakuchosha usiku nafikiri utaupata usingizi vizuri tu.
Nalog off
 
Pole sana.....subiri nkupunguzie wa kwangu maana kichwa hiki kwa usingizi balaa..
 
Pole sana.....subiri nkupunguzie wa kwangu maana kichwa hiki kwa usingizi balaa..

Dah... Farkina nakushukuru walau umenipunguzia usingizi kiasi.... Baasi leo ntakusaka mapemaaa ili unipunguzie tena!
 
Last edited by a moderator:
Kunywa maji ya kutosha, oga ucku, fanya mazoez ya kutosha na ikifika mida unayotaka kulala chukua notes au story zisizo na mvuto usome nakuhakikishia lazima utalala
 
Mwenyekiti Baba V nadhani kwenye msafara wa mamba na Kenge wapo, so na mi ntakuwemo najua atakuwepo mwengine asiye na usingizi tu

Hahahaaaaa... ni kweli mkuu, unajua sisi ndo watu pekee wa kuokoa jahazi, si unajua tena utu uzima dawa hata ya usingizi..
 
Habari zenyu binafsi....

Mwenzenu mie siku hizi sipati usingizi, hapa yaelekea saa nzima nahesabu matundu ya chandarua, hivi ni kwanini???? Kwanini sipati usingizi kama awali???? Huyo aliyenipokonya usingizi wangu nikimtambua walahi namgeuza mjusi kafiri au kenge...

Khaaaaaa..... Hivi kuna mtu ana tatizo kama langu!???? Nahisi hata kupungua now days lol!!!!!!

Msaada wadau.....


google insomnia hlf uangalie sababu yoyote kama unayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom