Mwalimu..limeshapita!

LILENDI

JF-Expert Member
Oct 27, 2013
1,400
496
Mwalimu mmoja wa darasa la tatu alitoa maelekezo darasani:

MWALIMU: Haya watoto wazuri, kila mmoja wenu achukue kalamu na karatasi kisha achore picha ya gari linalotembea, sawa?

WANAFUNZI: Sawa, mwalimu.

Baada ya muda mfupi mwalimu akawa anapita kila dawati kuangalia picha zilizochorwa. alipofika mwishoni mwa darasa akastaajabu alichokiona kwa mwanafunzi mmoja:

MWALIMU: (kwa ukali kidogo) Wewe... mbona umechora mawingu tu hapo kwenye karatasi?
MWANAFUNZI: Mwalimu, nilichora picha ya gari linalotembea hapa lakini limeshapita. unachokiona ni vumbi!
 
lol....i almost smiled :frusty: hahaha
.jpg
.jpg
 
Dogo ndo kapatia kuliko wote hapo.. .
Yaan ingekuwa ni pepa la necta ni ana div 5
 
Back
Top Bottom