Nisaidieni Pls; Hili swali limenishinda

Nisaidieni Pls; Hili swali limenishinda

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,488
Reaction score
100,883
Eti, hivi alietengeneza taa ya chemli na akaunda ile mashine yake ya kupandishia na kushushia utambi kwa muonekano ule aliwaza nini??? Nimejiuliza nimeshndwa nisaidieni jamani!!
 
aliwaza kupata urahisi wa kupandisha na kushusha... au uliwaza nini Elli?
 
Last edited by a moderator:
Eti, hivi alietengeneza taa ya chemli na akaunda ile mashine yake ya kupandishia na kushushia utambi kwa muonekano ule aliwaza nini??? Nimejiuliza nimeshndwa nisaidieni jamani!!

Aliyegundua mashine ya kusaga aliwaza nini,aliyegundua gari aliwaza nini,aliyegundua nini aliwaza nini?
 
Ameshatengeneza taa tayari unaiona!
Waulizaje aliwaza nini !
"aliwaza kutengeneza taa" itakayokua na Mwanga autakao , na kuizima atakavyo , ndy sababu akaweka hiyo mashine .
 
Eeeh hata mie najiuliza uliwaza nini
 
Back
Top Bottom