Jamani nasikia tu kuna pm,ila mimi cjui na gundu au sina mvuto au sifai au sina vigezo au mshamba,yani uwezi Amini cjai pata hata PM moja hata ya bahati mbaya sio vzr jombaah!!silazimishi ila...
A man was complaining to a railroad engineer "what's the use of having a train schedule if the trains are always late".
The railroad engineer replied,
"How would we know they were late if we...
Kijana mmoja alifungwa jela miaka 7 Baada ya miaka 2 baba yake akamwandikia barua : "Mpendwa mwanangu, umeniacha katika maisha magumu ya maradhi na umasikini, bora ungekuwepo ungenisaidia kulima"...
Haya Sasa Tutegemee Kuanzia Kesho Na Siku Zinazofuata Jiji La Dar KUpungua Kama Siyo Kuisha Kabisa Kwa Foleni Kutokana Na Watu Wengi Hususan Wachagga Kuelekea Kaskazini Kama Ilivyo Jadi Yao...
salaam ndugu zangu,
nawakubali sana katika nyanja nyingi sana hususan katika swala zima la bragging and all that stuffs ila leo wakuu nawaombeni kitu kimoja; hebu tamkeni neno hili kwa sauti...
Hi friends my name is Jabeen Ali. i am new here i recently join this great community this is great forum to get information i read out all the threads on this forum and get pretty knowledge and...
Ndugu wanajamvi husika na kicha cha habari hapo juu.baada ya kutimiza mashart na vigezo tulivyopewa na uongozi wa cc kukamilisha ndoa yetu,naomba ku2mia nafasi hii kuwatangazia kua ndoa hii...
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa natimiza miaka kadhaa namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kufika hapa.
Kwa walio karibu wanakaribishwa kutakua na party ndogo hapa Mkoani kwetu Lindi...
NIRAHA SANA KUMSIKILIZA MBUNGE WA CCM:
"Mheshimiwa Spika, naona upinzani wamefikia pabaya, wanaikashifu serikali sikivu ya CCM. Chama kimefanya mengi sana, maendeleo makubwa tumepata, shule za...
Kuna mtu kanitukana, ni mtoto wa kike... nimetafuta kwenye kamusi ya kiswahili nimekosa...sina raha kabisa hapa nilipo, mpaka nijue maana yake... tunaongea vizuri tu mara akaniambia "Inahuu" ebu...
Habari za leo wanajanvi?poleni na hekaheka za kumalizia wkeend.baada ya kusugua banch la ubachela muda mrefu na kuona watu wanavyojilia vyao humu ndani.nikagundua kua lile chama la wasiooa/kuolewa...
Nasema na wewe Shababi !
Mpo veranda na Mkeo/Mchumbaako/Hawaraako/ ita uitavyo ilimradi awe mko nae kunako love relationship .
Mkiwa hapo sebleni mnaangalia Tv .
Kwenye Tv kunasomwa taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.