I missed JF!! Nabisha hodi baada ya kimya kireeeeefu!!

I missed JF!! Nabisha hodi baada ya kimya kireeeeefu!!

vanilla

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
448
Reaction score
360
Japo huwa ni msomaji zaidi kuliko kuchangia, but i really missed jF. I hope mwaka 2014 nitakua more active....

HODI HODI JF once again!!
 
Nani anakagua siku hizi?

ndugu yangu katavi siku hizi humu ndani wakaguzi kibao.sijui wakaguliwaji wamekua wengi ndo maana.ngoja baba v aje ajibu haya.mie mwenyewe mchumba wangu hajakaguliwa mpaka sasa.
 
Usipokua makini utakuguliwa na wezee wote humu ndani, naona siku hizi wote humu wakaguzi tu
 
karibu mamito jisikie uko nyumbani .....tupo!
 
Karibu sana hapa ndo mtoni,halafu hawa wakaguzi nahisi wamesahau kuweka mlinzi getini,utakaguliwa siku nyingine
 
Back
Top Bottom