Tangazo la ndoa ya mkiva vs preety

Tangazo la ndoa ya mkiva vs preety

mshana org

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
2,091
Reaction score
620
Ndugu wanajamvi husika na kicha cha habari hapo juu.baada ya kutimiza mashart na vigezo tulivyopewa na uongozi wa cc kukamilisha ndoa yetu,naomba ku2mia nafasi hii kuwatangazia kua ndoa hii itafungwa tarehe 27.12.013 baada ya boxng day.ukumbi mutajulishwa na kamati.asante nawakilisha.
Cc baba v
cc kokutuna
cc judgment
cc ruttashobolwa
 
Mmmh!

Hii ni ndoa ya mitara au ni mke mmoja?

Mi bana nasaka mabinti watatu hapa jf niwaoe kwa pamoja!!

Vipingamizi viletwe baada ya miaka 15 ya ndoa! Full stop!
 
nimekukubali mkiva wewe mwanaume wa kweri yani umekomaa hadi umetangaza ndo baada ya mapingamizi kibao leo ndoa imetangazwa, haya aliyesema aolewi Preety anakwenda kutimiza masharti ya kulala bila nguo. hongera mkiva na Preety
 
Mwaaaaaah my mkiva, ♥♥♥♥
 
Mwaaaaaah my mkiva, ♥♥♥♥

Muheshimiwa mkiva come this way uone mikopa ya kushiba!
Yote mikopa yako hii !
Mie niko happy sana na ndoa yenu! Ingawaje jana mkeo mtarajiwa alinitusi maeneo flani , hata hivyo nilishamsamehe pasipo malipo!
Niwatakie kila la kheri ktk hili .
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahahaaa jmn jmn, nsamehe bure mc wetu, ila yule mgeni wetu ndo aliekutusi!
 
Last edited by a moderator:
Muheshimiwa mkiva come this way uone mikopa ya kushiba!
Yote mikopa yako hii !
Mie niko happy sana na ndoa yenu! Ingawaje jana mkeo mtarajiwa alinitusi maeneo flani , hata hivyo nilishamsamehe pasipo malipo!
Niwatakie kila la kheri ktk hili .

nimeona ilivyokua ya ukweli kama mtoto mwenyewe alivyo wa ukweli
 
Last edited by a moderator:
Mmmh!

Hii ni ndoa ya mitara au ni mke mmoja?

Mi bana nasaka mabinti watatu hapa jf niwaoe kwa pamoja!!

Vipingamizi viletwe baada ya miaka 15 ya ndoa! Full stop!

haturuhusu mitaalaa
 
Back
Top Bottom