mmmmmm....ahaaa hata pm moja,jamani wana JF kah!vibaya hivyo

dazipozi

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
1,137
106
Jamani nasikia tu kuna pm,ila mimi cjui na gundu au sina mvuto au sifai au sina vigezo au mshamba,yani uwezi Amini cjai pata hata PM moja hata ya bahati mbaya sio vzr jombaah!!silazimishi ila mawazo yangu naomba ya heshimiwe!ni hayo 2
 
Peleka huu upupu wako kule cc(chit-chat) mtaelewa lini nyie?
 
ukisikia kazi ndo hii!......worry out utapata nyingi kwanzia sasa mpaka ukimbie ...hukusomeka mwanzo!na simply coz hukuwaunapm wenzio!na wewe vibaya ivyo jamani!!
 
kumbe tuko wengi tunaopenda pm! dawa ni kuanza kupm wenzako, halaf utaziona tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom