Hodi

Hodi

SMOOTH

Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
17
Reaction score
3
Heshima kwenu wanajamvi. Mie hapa mgeni naomba kukaribishwa na kupewa ABC.
 
Kwanza karibu! Hizo Abechede zitakuja automatic .
Enn'he mwenzetu unatumia cream gani usoni ? Kama muandiko wako tu mng'ao ! Je wewe?
 
Kwanza karibu! Hizo Abechede zitakuja automatic .
Enn'he mwenzetu unatumia cream gani usoni ? Kama muandiko wako tu mng'ao ! Je wewe?

Mkuu nadhani kitengo hiki kitakufaa. Utapewa elimu elekezi na kina watu8.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom