Vip christmass kwako ipo frash?

Vip christmass kwako ipo frash?

Joined
Dec 18, 2013
Posts
14
Reaction score
0
Napenda kumshukuru muumba ambaye had sasa napumua,sina ugonjwa,na nina Afya nzuli.napenda kujua nany marafik zang mpo pouwa mwisho huu wa Mwaka?
 
Tuko fiti kama mbwa wa polisi...
 
Last edited by a moderator:
tunamshukuru muumba kwayote mema aliyotundea tangu kuaza kwa mwaka mpaka sasa unapoelekea kuisha.kunamagumu mengi tumepita kwa uwezo wake.kipindi cha furaha majozi na huzuni.poleni wale waliondokewa na wapendwa wao(kufiwa) waliopata ajali na kubaki vilema.waliosalitiwa au kuwasaliti wenzi wao.mungu awape neema yatima na wajane wote.mwisho mungu tujalie tumalize salama mwaka.kwa afya mie mzima...
 
Until I see mother christmas, father christmas is gay..
 
Niko powa kabisa, nafurahia uwepo wa mwanakondoo katika maisha yangu.
 
Back
Top Bottom