nimekuwa nikisikia kuwa mlio na ndoa muda kama huu ndo mahala pake na kwamba kale ka tendo ka adamu na hawa huwa kananoga sana alfajili! kwa senior barchelor kama mimi tulie tuuuuuuuuuuuuu, naomba...
Wana Chit Chat!
Msimu wa sikukuu ndiyo umefika sasa.
Naamini kila mmoja kwa namna yake ataenjoy na kufurahia sikukuu hizi.
Sasa kwa kupitia huu uzi, naombeni tupeane wishers zetu.
Wenye maua...
Jamani kuna aina za upara. Wengine wanasema kuna upara wa hela na upara wa akili.wengine wanssema upara wa mikosi. Je hizo hizo para zinakaa wapi.wana jf nielezeni hizo para na maana zake kwa...
Habari wana cc, nawatakia mwisho wa mwaka mzuri. Pia msherekee kwa amani mwaka mpya, nitakosekana kwa siku 2 tatu hapa jukwaani. Kwa kuwa naenda kuzisaka za kuanza kutumia 2014. Advice: dont drink...
Kulikuwa na ndege moja imebeba abiria wanned.ndege hiyo una parachute 4 ikapata ajali ,mtu wa 1 alikuwa ni ronaldo dilima, akachukua parachute la 1,akisema mi mchezaji maarufu bado...
Kama kawaida nimekuja kuhesabiwa na kwa sasa niko pande za nyumbani VWAWA ndani ya green city. Wapi Mzee wa fund... wapi ichenjezya , wapi Mwanyasi na IGWE na kati ya pande hizi..!? wapi...
Wandugu salaam,
Kichwa cha habari kinajieleza.Ukifika muda huo nitaomba kutambua uwepo wa members wote watakaobahatika kuuona mwaka 2014.Pia naomba tutumie fursa hii kuwakumbuka wenzetu wote...
Ndege nyingine imepata ajali mbaya na hakuna abiria aliyepona wote wameungua moto.
Ndege hiyo ilikuwa imebeba abiria wafuatao!!!
Umasikini
Msongamano wa mawazo (stress)
Magonjwa
Huzuni
Mikosi...
Kwame Nkrumah came out from prison and became president.
Nelson Mandela from prison to president.Obasanjo from prison to president.Theodore Orji from prison to governor.Omisore Iyiola from...
Dah...hizi kazi hizi,sometimes tunajua time ya kuingia ila kutoka ndio kama hivi tena....hapa hamna mtandao basi hakuna kuondoka hata ikiwezekana kulala humuhumu.... na kila siku tunasisitizwa...
Wadau habari zenu,
Naomba msaada kidogo kwa yeyote atakaye kuwa na idea..
Natafuta nyumba ya kupanga, kodi si zaidi ya laki 4, maeneo ya mwenge, kijitonyama, makumbusho, victoria or mikocheni...
kuna siki moja jamaa yangu James alikwenda bar ya jirani na kwao maeneo tangi bovu.
wakati akiendelea kugonga ka beer kake barriiidi, aliingia jamaa mwingine akaketi meza ya jirani yake na...
Do you know WHAT IS
STRESS?
Ok let me tell you what is
Stress-
You give a lift to a
beautiful girl,
she faints inside your car
and
you take her to the
hospital. Now
that's stressful...
Binti alimuaga mama yake, "naenda matembezi na marafiki zangu." Mama yake akamwambia "MUNGU AWENAWE katika SAFARI YAKO". Kwa dharau na kiburi binti akajibu "mh mama gari imejaa labda huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.