Breaking news

Breaking news

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
ImageUploadedByJamiiForums1388736273.754384.jpg


Ndege nyingine imepata ajali mbaya na hakuna abiria aliyepona wote wameungua moto.

Ndege hiyo ilikuwa imebeba abiria wafuatao!!!

Umasikini
Msongamano wa mawazo (stress)
Magonjwa
Huzuni
Mikosi
Njaa
Kushindwa katika maisha
Kukatishwa tamaa
Kukosa ajira
Maumivu

Andika neon “R.I.P" Kama unaamini majanga
hayo hayana nafasi tena kwako
 
Habari zako si kweli, wote abiria waliokuwemo wazima na nimewaona hii saa.
 
Back
Top Bottom