kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,687
Binti alimuaga mama yake, "naenda matembezi na marafiki zangu." Mama yake akamwambia "MUNGU AWENAWE katika SAFARI YAKO". Kwa dharau na kiburi binti akajibu "mh mama gari imejaa labda huyo MUNGU akae kwenye buti kama anaweza. Kwa kasi akawasha gari wakaondoka. Njiani wakapata AJALI MBAYA wote wakafa walitambuliwa tu kwa mavazi waliyovaa! POLICE walipofungua buti wakakuta mayai trey 2 yakiwa salama kabisa!!- Unajua kwa nini? Kwa sababu MUNGU alikua kwenye buti! JE, WEWE UMEMUWEKA MUNGU WAPI"??? Na umejifunza nini hapo? nakutakia mwaka mpya mwema na wenye balaka tele,,,.