Hebu angalia kiswahili cha wapemba!!

Hebu angalia kiswahili cha wapemba!!

...Kwa kweli wapemba lahaja yao kama u mgeni utapata shida sana kuwaelewa! kuna mpemba alikuwa anasisitiza kuwa lazima akapafahamu nyumbani kwa rafikiye akasema "basi leo najam'pa jua kwako"
 
Kuna mwengine nilimsikia akimuuliza mwenzie je mwabesabesa?je huko nyumbani mwabesekewa?nikabaki sielewi,sasa ukiwasikia wamakunduchi ndio utainjoi hao huelewi kitu we jaajee?
 
Kuna mwengine nilimsikia akimuuliza mwenzie je mwabesabesa?je huko nyumbani MWABESEKEWA? nikabaki sielewi,sasa ukiwasikia wamakunduchi ndio utainjoi hao huelewi kitu we jaajee?

Hilo neno lenye CAPITAL LATER ijawahi kusikia likitamkwa na Wapemba! Je wewe waweza kutuambia nini maana yake?
 
Back
Top Bottom