Nani yupo kazini tufarijiane.....

Nani yupo kazini tufarijiane.....

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,852
Dah...hizi kazi hizi,sometimes tunajua time ya kuingia ila kutoka ndio kama hivi tena....hapa hamna mtandao basi hakuna kuondoka hata ikiwezekana kulala humuhumu.... na kila siku tunasisitizwa kujiambia 'naipenda kazi yangu'...dah, nani mwingine yupo kwa ofisi muda huu tuvute vute muda maana hapa hata dalili hamna na ni saa tatu unusu ati...

sleepy.jpg


iStock_000003456099XSmall.jpg
 
Bado upo mkuu,kuna kipindi mi nilikuwa nakesha mkuu vumilia tu na wewe utazoea...
Asante mkuu,nilitoka mida ya saa tano hivi..ila nimelipizia kwa kuchelewa kuingia job kidogo leo
 
Back
Top Bottom