Bubu anapopiga kelele BAR akishalewa,..! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bubu anapopiga kelele BAR akishalewa,..!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Kisoda2, Jan 3, 2012.

 1. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  kuna siki moja jamaa yangu James alikwenda bar ya jirani na kwao maeneo tangi bovu.
  wakati akiendelea kugonga ka beer kake barriiidi, aliingia jamaa mwingine akaketi meza ya jirani yake na kufanya ishara kwa kumuita waiter ili apatiwe huduma.
  waiter alipogeuka, jamaa akachezesha mikoni na akaletewa beer ya Safari akanywa. ilipo kuwa ina karibia kwisha akachezesha tena mikono kwa style nyingine akaletewa beer ya Castle bariiiidi akanywa a mara nyingine tena ikaja ya bariiidi akanywa.
  jamaa alichanganya mikono kwaajili ya round nyingine kwa style ambayo James hakuelewa kitakuja kinywaji gani,mara waiter alikuja na kumtoa nje yule bubu.
  James alimwita yule waiter na kumuuliza aliwezaje kumuelewa bubu anataka nini.
  waiter akasema anamuelewa sana.
  James akauliza, mbona umemtoa nje?
  waiter akajibu: alikuwa anatupigia kelele tayari alikuwa amelewa!!.
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  teh mbona alitumia ishara? au alikuwa analeta usumbufu? teh
   
 3. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  napita tu
   
 4. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Yap usumbufu ni sehemu ya kelele (noise kwa wazungu ina maana pana kuliko kiswahili)
   
 5. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Ohohohohoh!!!!
   
 6. hussein boxer

  hussein boxer JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2013
  Joined: Dec 21, 2013
  Messages: 774
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 60
  sijaelewa kitu
   
 7. tomjelly

  tomjelly JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2014
  Joined: Jul 29, 2013
  Messages: 562
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Nimeelewa kitu:clap2:
   
 8. g

  gody5m Senior Member

  #8
  Jan 2, 2014
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  imebidi nisielewe kitu
   
 9. Bome-e

  Bome-e JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2014
  Joined: Jan 3, 2014
  Messages: 8,605
  Likes Received: 5,439
  Trophy Points: 280
  Nimemuelewa!hahahaa very funny!ni kwamba huyo waiter anajua lugha ya ishara wanayo2mia viziwi so alipolewa badala ya kupga kelele labda kwa kuimba nyimbo kwa sauti sababu yeye ni bubu hzo nyimbo akawa anaziimba kwa ishara,hahaa waiter kaona anapigiwa kelele teh teh teh teh!nimeipenda
   
Loading...