twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
Wandugu salaam,
Kichwa cha habari kinajieleza.Ukifika muda huo nitaomba kutambua uwepo wa members wote watakaobahatika kuuona mwaka 2014.Pia naomba tutumie fursa hii kuwakumbuka wenzetu wote waliotutangulia mbele za haki na kuwaombea wote waliopo mahospitalini na magerezani.Mungu tusaidie mwaka 2014 ukawe wa Baraka kwetu,familia,taifa na dunia kwa ujumla.Amen.Heri ya mwaka mpya kwa wote.