Kulikuwa na ndege moja imebeba abiria wanned.ndege hiyo una parachute 4 ikapata ajali ,mtu wa 1 alikuwa ni ronaldo dilima, akachukua parachute la 1,akisema mi mchezaji maarufu bado nahitajika.abiria wa 2 alikuwa ni hillary clinton akachukua parachute ya 2 akisema bado watu wananihitaji.Abiria wa 3 ni mzee akasema dogo chukua parachute uende mimi umri umeshaenda .dogo akamwambia tulia babu, huku tuna parachute mbili ile aliyochukua rais wa marekani ni beg Langu la shule. Kweli kwa hivyo tutaongoza nchi