Heri ya mwaka mpya from my husband and I!!!!!!
Ndio kusema wewe umeolewa na JT ama?
Karibu sana Shemeji Preety!
Kwanza , hongera kwa mwaka mpya.
Pili , mbona umepotea mjengoni ?
Au ndo unatawishwa Bi Harusi to be !
Hapa pako salama, si unajua habari za January 05 ?
Ndy tupo maandalizini .
Asante hongera na ww pia shem wangu wa ukwee kabisa, sijapotea nipo hapa ila mara nyingi nashinda jirani hapo MMU, ahhh najua sana hio tare shem
Basi fureshi , na tarehe yenyewe ndo hiyo inaning'inia !
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us