JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Weka picha inayochekesha tafadhali.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Salaam wakuu, kwa muda murefu nilikua nasikia hili swala kwa watu ila bado sijajua kama ni kweli. et ni kweli kuku ana sumu inayoweza kuua kama nyoka? mi hata bibi alikuaaga ananiambia...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
A woman walks into a drug store and asks the pharmacist if he sells size extra large condoms. He replies, "Yes we do. Would you like to buy some?" She responds, "No sir, but do you mind if I wait...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimemisije uswazi kwetu!!! Yani mida hii ni hatare wakati ugali dagaa ushashuka tumboni sie vibarazaniiii volume 500 utatutaka!! Heheheiyaaaa ***** ***** mchokoe pweza bibi sio bin a dam...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
jamaa alikuwa anampenda sana binti mmoja hiv karibu na mtaa wao,ila alikuwa mzito kumtamkia.siku moja akajikakamua kumtumia ujumbe wa maandishi (text) (I LOVE U) ghafla kidogo meseji ikaingia...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Mke:mme wangu hapo mtaa wa pili kuna shughuli gani? Maana nasikia shamrashamra Mme:itakuwa hepi besidei Mke:hee! Ya nani? Mme: itakuwa ya tuyu maana nimesikia wanaimba "hepi besidei tuyu"
0 Reactions
4 Replies
2K Views
BARUA MAALUM KWA WANACC NA MMU WOTE S.L.P. 2014 LADIES ONLY JF CC NA MMU MODERATOR S.L.P 000 JAMII FORUM YAH: MWENYEKITI MPYA WA CC 2014 NA VIONGOZI WENZAKE Rejea kichwa cha habari hapo...
1 Reactions
225 Replies
14K Views
habari wana jamvi leo nimeona niondoe ukimya na kiguumizi cha hawa wanaodai wanamajina ya watu wanaotuhumiwa kuweka yale manoti yetu kuleeeee, halafu hawataki kuyataja. nimeona niwasaidie...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Wana jf,napenda kutoa masikitiko kuwa najuta kupajua kahumba morogoro..ni kati ya maeneo ambayo hayafai kabisa naiomba SERIKALI IIFUNGE CLUB HIYO....Kwani kumenifanya kila siku nikipita maeneo ya...
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Njemba moja inayopenda chakula kuliko maelezo ikatembelea ukweni siku moja.Sasa wakati imekaa kibarazani inapiga soga na Mkwe wake.Akatokea mama mkwe akaanza kumkimbiza kuku mmoja...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari za Maisha kwa ujumla. Kuna kitu nakiandaa hapa ntawaomba ushauri soon. Sasa hapa najaribu kuona kama upo wewe uliyepita hapa. Ahsante kwa kupita hapa naomba nikutakie w/end njema kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wanaCC, Kwa muda mrefu sasa nimekuwa kwenye uchunguzi wa idadi ya watoto nilionao kama ni sahihi ama sio sahihi... Ni jambo la kheri kwa mwanadamu kubarikiwa watoto na Maulana...
5 Reactions
155 Replies
9K Views
Mwanasaikolojia aliingia ndani ya chumba cha vichaa wenye afadhali kwa ajili ya kuwafanyia counselling ikiwezekana wapandishwe mabasi na warudishwe makwao. Wakati anaendelea akawataka kila mtu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kamanda wa majeshi ya ulinzi na uslama Tanzania, alikuwa anakaguwa wanajeshi wake katika gwaride lililofanyika kule Makutupora, akasimama kwa mwanajeshi wa kwanza na kumuuliza: jina lako nani...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
wadau nasikia mwaka huu valentine day imepangwa kuwa tarehe 15 feb badala ya 14 feb. je ni nini kimesababisha mabadiliko hayo au ndiyo yaleyale ya CCM kusherehekea tarehe 2 badala ya 5 feb.
0 Reactions
2 Replies
992 Views
Mshikaji mmoja alikuwa amekaa na baba yake nyumbani, mara akamuöna dem wake amekuja kumtembelea. Bahati mbaya babake alikuwa mkali sana,wakataka kumficha mazungumzo ambayo yalikuwa hivi:-...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Joto la leo siyo mchezo, yaani hadi ukitoa elfu moja mfukoni unakuta Nyerere amevua shati.
1 Reactions
4 Replies
3K Views
kuna injini za gari,pikipk,tren n.k.. na kila injini hutumia aina moja ya mafuta, kama injini inatumia diesel basi haiwezi kutumia petrol.,hebu pata picha tumbo lingekuwa kama injini,yaani kama...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
We Zinduna unasema haolewi mtu wakati mnata mahari kama ya kuwekeza kwenye kisima cha gesi nani ataweza usawa huu?? ndio maana wapopoaji wanazidi kuongezeka kuliko waowaji. CC: KakaKiiza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati akifundisha somo la History akauliza swali kwa wanafunzi wake:- Mwl.....Nani alimuua mtemi Mkwawa? Mwanafunzi wa 1. Mwl mi sijui jana sikuja shule!? Wa2. Mi mwalimu sijuikabisa maana...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Back
Top Bottom