NAJUTA KUPAjUA KAHUMBA CLUB

NAJUTA KUPAjUA KAHUMBA CLUB

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
760
Wana jf,napenda kutoa masikitiko kuwa najuta kupajua kahumba morogoro..ni kati ya maeneo ambayo hayafai kabisa naiomba SERIKALI IIFUNGE CLUB HIYO....Kwani kumenifanya kila siku nikipita maeneo ya mjini lazima nipitepo...plz GVT WATCH OUT THIS
 
Si uache kwenda huko kaumba?
 
sasa mbona hujayoa sababu pana nn cha ajabu?
 
Inaonesha jinsi gani hujatembea ukaona Mengi,yan kukuta wadada na wamama wanajiuza wewe unaona kitu cha ajabu,Ukahaba mbona siku hizi ni "very Obvious" tunasubiri tu Dakika za Mwisho zi karibu yaliyonenwa yatimie maana wanajiuza mpaka Mchana kwepe.
 
Mkuu mleta mada niseme tu umechelewa kupajua hapao Moro kwa sie wazoefu kwa mji ni sehemu y akawaida sana na kufungwa sidhani maana iko muda mrefu hiyo Kahumba leo hii ije ifungwe ..... Watu wanakula raha zao hapo😛oa
 
Nilishapata huduma hapo toto lilikuwa la ukweli sana ila siku hizi sijuwi vipi chipukizi bado ipo mkuu
 
Umeona nini? Umepatwa nini hadi utufungie club? Chilakale na samaki samaki umefika? Kikubwa ufunge moyo wako acha tamaa ya kupitia huko. Otherwise utaliwa tuuu
 
Kahumba bana kuna mademu wa ukwee wanafunzi wa vyuo moro wa kumwaga
 
Back
Top Bottom