majina ya walioweka mabillioni uswiss

chelsea fc

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
843
225
habari wana jamvi
leo nimeona niondoe ukimya na kiguumizi cha hawa wanaodai wanamajina ya watu wanaotuhumiwa kuweka yale manoti yetu kuleeeee, halafu hawataki kuyataja.
nimeona niwasaidie kuyataja, haya sasa naaanza..................

1. madam flani (somebody)


haya wewe endelea hapo,ole wako kama hauna ushahidi magwepande inakuitaaa.lol
 
Top Bottom