Nimekumbuka swaga zangu zileee

Nimekumbuka swaga zangu zileee

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,161
Nimemisije uswazi kwetu!!!
Yani mida hii ni hatare wakati ugali dagaa ushashuka tumboni sie vibarazaniiii volume 500 utatutaka!! Heheheiyaaaa ***** ***** mchokoe pweza bibi sio bin a dam wenzako....tenaaaa alokutwika ndo atakaekutua bibi wewe....alokupa mchi kutwanga ukamdai na ungo wa kuchungia..unalo bibi utalala nalo leo.......lako hiloooo kama si lako la bwanako, kama si la bwanako la jirani yako!! Upo hapo??..hureeeeeeee eeehh
madai yako umevurugwa....! Hapa kazi tu kuvurugwa hukooooo hukooo! Jiwe lkmerushwa ukisikia kwiiiiiiii ujue limempata...
 
Hahahahahaha hivi ulipotelea wapi rafiki Mrembo by Nature siku nyingi sijakutia machoni
 
Last edited by a moderator:
mama wa makavu live, umerudiiiiiii!!!!! we mc yoooo!
 
Back
Top Bottom