Valentine day tarehe 15 2 2014

Valentine day tarehe 15 2 2014

kipipili

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
1,587
Reaction score
188
wadau nasikia mwaka huu valentine day imepangwa kuwa tarehe 15 feb badala ya 14 feb. je ni nini kimesababisha mabadiliko hayo au ndiyo yaleyale ya CCM kusherehekea tarehe 2 badala ya 5 feb.
 
unajua maana ya valentine day? jaribu ku-google
 
Haaaa! ile siku ya wadanganyanao kwamba wanapendana! Akikwambia `I love you' usibweteke,hiyo `you' ni prural sio singular!
 
Back
Top Bottom