Mwal. Wa history Darasani.

Shamkware

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
1,740
2,243
Wakati akifundisha somo la History akauliza swali kwa wanafunzi wake:-
Mwl.....Nani alimuua mtemi Mkwawa?
Mwanafunzi wa 1. Mwl mi sijui jana sikuja shule!?
Wa2. Mi mwalimu sijuikabisa maana jana nlikuwa naumwa!?
Wa3. Nae mi mwalimu sikuhusika kabisa! ->>>>>Mwl. Kuona hivo akaona hawa wanaleta utani et!, Akaamua kwenda kwa Mwl. Mkuu akamwelezea kilichotokea Mwal. Mkuu nae ikabidi aambatane nae wakashudie wote kwa pamoja! Walipofika mkuu akaulza swali lilelile na Majibu yakawa Yale yale?!
Mwl mkuu kuona Vile Akamvuta Pembeni Mwal. Wa Somo na Kumuuliza "LAKINI MWL. UNA UHAKIKA MUUAJI ATAKUWA HUMU DALASANI KWELI?!" ungekuwa wewe mwl. Wa somo ungemjibu nini!
 
Mkuu kaanza kusoma science tangu kindergaten msameheni bure..
 
Twende mbele turudi nyuma, Mkwawa aliuwawa au alijiua au vyote sawa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom