mkurugenzi1
Senior Member
- Mar 22, 2009
- 122
- 28
Mshikaji mmoja alikuwa amekaa na baba yake nyumbani, mara akamuöna dem wake amekuja kumtembelea.
Bahati mbaya babake alikuwa mkali sana,wakataka kumficha mazungumzo ambayo yalikuwa hivi:-
MSHIKAJI:"Umekuja kuchukua kitabu cha SPEAK ENGLISH MY FATHER DOESNT KNOW."
DEM:"Yes,na kile cha WHERE SHOULD I WAIT FOR YOU."
MSHIKAJI:"Dah...hicho sina labda cha WAIT FOR ME UNDER THE MANGO TREE."
DEM:"Sawa,usisahau cha I GIVE YOU 5MINUTES."
MSHIKAJI:"Pouwah...nitakupa na cha I WONT LET YOU DOWN."
BABA:"Mbona vingi,atamaliza kuvisoma kweli?"
MSHIKAJI:"Yule dada ana akili sana,ye ndio anatuongoza darasani."
BABA:"Aha...basi mpe na kile cha I HAVE UNDERSTOOD EVERYTHING AM NOT THAT
STUPID!: