Hello chitchat!
Natangaza kuwa ndoa kati ya Baba V na Mama v naivunja kuanzia leo tarehe 14 Oct 2013 kwa sababu Mama v hatumjui na sijui km anaexist.
Hivyo nikiwa km...
siku zinazidi kuyoyoma na mwaka ndio huo unamalizika. Kwa kifupi hapa kwa kuwa tunakutana watu wenye mawazo na uelewa tofauti, kuna watu ambao huwa wanatukera kwa namna moja au nyingine. Mimi...
Madame B, Hapo pichani ni zawadi pekee ya leso uliyoniachia kule TANGA SIKU YA TAREHE 29 December 2012(Siku ya Kumbatio), saa 11.20 za jioni tukiwa tunatokea Pangani!..Sitakitupa kitambaa hiki...
Katika pita pita zangu nakutana na jamaa kavaa shati la kitenge kumcheki vizuri ni Brother Bishanga. Kwa kweli amenisimulia kilichomtokea hadi machozi yakanitoka na kunitiririka.
Karibu tena...
JF bwana kama unashindwa kucontrol hasira utakuwa unaambulia Ban kila Mara maana watu walivyo na majibu ya kuudhi/dharau/ya mkato bila kusahau kushushuana duh balaa,mi huwa nayafananisha na...
Mdomo huo huo unaotoa lecture na nasaha kibao. Mdomo huohuo unaokula chakula kitamu. mdomo huo huo unaosali na kuswali huku ukimuomba mola wako yote yaliyo mema wewe na jamii yako!!!
Mdomo huo...
Tamko kutoka Chama cha Maboifrend Tanzania (CHAMATA)
Wapenzi wetu, wake zetu, nyumba ndogo zetu, samsing zetu, dogodogo zetu, kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu kama vile...
Sina muda mrefu humu jukwaani na bado hata rafiki sina lakina napaona nyumbani. Na kwa maisha ninayoishi kwa sasa jf imekuwa sehemu kubwa ya kampani yangu
Kwa yoyote ambaye angependa kuwa rafiki...
jaman akina dada mnaotoa mimba m
nanibore ile mbaya.Hivi unapobeba mimba then una abort unategemea nini? wakati wazaz wako wanakusomesha ili uwe mkomboz wao! hii sasa singida imekithiri!!
MORE PHOTOS
Look at the photo above, what's wrong with it? yes you guessed right; there are two toilets in a single cubicle with no partition in between! This washroom was discovered by a BBC...
Wakiwa wanamsubiri weita jamaa akamwuliza demu "unatumia whatsup"demu kwa maringo akaachia tabasamu kali akajibu " ndio natumia ila isiwe ya baridi sana"
Imekua longtime sana miss chagga, leo nataka uvae upendeze tutoke tukale bata popote utakapo na wala usiogope mtu yoyote humu chit chat. Si unajua wengi maneno matupu tu? But yo hubby donlucchese...