Hahahahahahahahaaa hapana, huku ni kutaka kujua mume wangu akipendacho atii, kwann ulipita hii mitaa?
Nikuandalie nini cha kula leo? Nakupenda sana!
Mbona umefurahi kabanga?
Yaani bbylov Valentina anasema eti nimemnyang'anya tonge mdomoni, mara atake kuja kwetu mm sielewi kwakweli!
asante mupenzSwiry nimefurahi umerudi salama toka matembezini, pole kwa uchovu, njoo huku nikukande miguu mume wangu!