JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Msomi mmoja alikuwa anafanya utafiti, akamchukua chura akamwambia 'Ruka', chura akaruka mita 4, msomi akaandika katika kitabu chake kuwa chura mwenye miguu minne huruka mita 4. Kisha...
6 Reactions
20 Replies
6K Views
Brothermen mmoja aliyekuwa akijifanya anajua ung’eng’e huku akijifanya yeye ni matawi ya juu alikwenda kupata msosi yeye na demu wake.Si unajua mabishoo kwa kupenda kujikweza? Basi demu akaagiza...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Ukitaka kujua mwanamke wako ni mkali basi nenda naye posta mpya ya dar, walahi utamuacha kituo cha daladala maana ndo utajua kumbe wanawake wakali wapo na wako si kitu, kila nikikanyaga posta...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Katika kupitia pichapicha za harusi ya sosoliso na Paloma nikakutana na hii picha hapo ilikuwa ni siku ya kwanza ya fungate. Waweza pata picha hii ndoa iko na hali gani sasa. Cc Baba V...
6 Reactions
140 Replies
8K Views
Leaders club? Diamond jubilee? Karimjee? Mnazi mmoja?? Haahaha hivi namba one ameshatangaza mapumziko,,???am not sure c unajua mzee wa suprise!!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Cku moja mume na mke walikwenda zanzibar.je unataka kujua kulichotokea?itaendelea wakirudi.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nashauri kwa kipindi cha mpito ambako hatuna kitufe cha LIKE, moderators waweke kitufe cha KISS!! toeni maoni wadau..
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Jamaa alikuwa anafanya kazi mochwari, siku hiyo akaamka na bonge ya homa, akaenda na mkewe hospitali wakati anapimwa damu na nesi, mkewe akaona itakuwa vizuri kuwataarifu wafanyakazi wenzie kazini...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
1 Reactions
0 Replies
655 Views
Mi mgeni kabisa katika jukwaa hili.. Cjasoma nn kinaendelea kwa pande hii.. Naomba kueleweshwa kwa undan.. Nini kinafanyika ktk jukwaa hili..
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi ni vp kwa wale waliozaliwa tarehe 29 ya mwez wa pili, huwa wanasherekea bday yao lini? au ndo kila baada ya miaka mi4
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wasiopanda daladala wanakosa utamu wa sentesi zifuatazo... 1.ntakupa 2.ngoja asimamishe nikupe 3.sasa hiv nilikaa ntakupaje.. ..Na ww ongezea
0 Reactions
21 Replies
6K Views
nina sampo kibao ntaziweka hapa uchague. usipozipenda niambie nikatafute zingine.
1 Reactions
76 Replies
6K Views
Majambazi walivamia benki wakawaambia watu wote tunaanza kuwaua kwa alfabeti za majina yenu A,B,C..........Z" wakamuuliza meneja unaitwa nani? Meneja; Zosefu Zabrahamu Wakawauliza watumishi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wana chit chat! Mpendwa wetu Paloma leo anatimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake.Muda mfupi uliopita nilifanya kazi ya kumfunga nepi,na nimeahidi ikifika saa sita ntaenda kumbadilisha.Mpenzi...
7 Reactions
110 Replies
17K Views
jamaa katoka zake kanisani,kufika hom akamkumbatia mkewe na kumnyanyua juu,mke:"mume wang leo umeamua kunionyesha mapenzi ya dhati mpaka kunibeba namna hii"mume:"Aah wapi aisee., mchungaji kasema...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenyu binafsi...... Tulikuwa mahali tunapata Dinner, mimi na watu wawili. Mtu wa kwanza sikumfahamu ila mtu wa pili alikuwa Mwigulu Nchemba, alikuwa kavalia zake singlendi nyeupe na...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni kipa wa timu iliyofungwa 7-0 na Yanga............akinukuliwa amesema kwamba si kwamba yeye ni mbovu ila safu ya ulinzi ya timu yake imemuangusha na yuko tayari kukipiga kwa mkopo hapa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hapa ulikua na nani?
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom