Tunaitesa mno midomo na ndimi zetu basi tu hatujui

Tunaitesa mno midomo na ndimi zetu basi tu hatujui

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
Mdomo huo huo unaotoa lecture na nasaha kibao. Mdomo huohuo unaokula chakula kitamu. mdomo huo huo unaosali na kuswali huku ukimuomba mola wako yote yaliyo mema wewe na jamii yako!!!

Mdomo huo huo unaolia na kuomboleza kwa uchungu leo umeugeuzia kibao unauzamisha chumvini kwenye joto kali na harufu za ajabu. Unalamba midude tena mingine ila fungus na mapele yasiyotibika

Watu wakikuona utasemaje? Ukipata maradhi utajiteteaje? Mapenzi uchafu sawa lakini kuutesa na kuumiza mdomo na ulimi wangu kwakuusokomeza na kunyonya vitu vya ajabu na mahali kusikofaa hapana
navipenda sana viungo vyangu hivi nitavitumia kwa haki kwa hekima na heshima
 
Back
Top Bottom