[singida thread)!akina dada mnao toa mimba

[singida thread)!akina dada mnao toa mimba

Joined
Jan 18, 2014
Posts
36
Reaction score
1
jaman akina dada mnaotoa mimba m
nanibore ile mbaya.Hivi unapobeba mimba then una abort unategemea nini? wakati wazaz wako wanakusomesha ili uwe mkomboz wao! hii sasa singida imekithiri!!
 
jaman akina dada mnaotoa mimba m
nanibore ile mbaya.Hivi unapobeba mimba then una abort unategemea nini? wakati wazaz wako wanakusomesha ili uwe mkomboz wao! hii sasa singida imekithiri!!
hmmm labda ntakua sjakuelewa! Kwani kutoa mimba kunamzuia mtu kusoma?
 
they should be responsible for their action

walipokuwa wakingonoka tena bila kinga wanategemea nini
 
Back
Top Bottom