Kama kawaida wana jf wote tumekuja kutambulishana na kapati kafupi tukiwa katikat ya wazee wa kuchomoa roho fasta wanakuja na zana mkononi wanataka kumuangamiza mmoja mmoja ila kwa kutumia...
HISABATI KITU INGINE ACHENI TU!
In high school, i was very poor in maths and chem. During exams, i'd get btn 2% and 8%. The results used to be announced out from the lowest to the highest...
juma ni mwalimu mwenzangu aliniomba sh 2000(elfu mbili) akanunue dagaa maana mshahara ulikuwa bado kidogo utoke atanirudishia, namjua alivyo mgumu kurudisha deni hasa pesa. Bahati nzuri tukaenda...
Kwa muda mrefu nimekuwa kwenye relation na huyu Ladymasa. Lakini tangu nitoe post iliyokuwa inaeleza wanawake ambao majina yao yanaanza na A ni wazuri zaidi, wana akili zaidi na wanaishi muda...
Salam wakuu,
za weekend? mi ndo naingia hapa ukumbi wa Karimjee maeneo ya posta kwenye harusi ya kaka yangu mpendwa alieamua kujivua ukapera leo. picha linaanza sijala tangu mchana ili ni amplify...
habari zenu wandugu. jamani hivi nikweli majaribu ni mtaji wa kuongeza imani..............unapojaribiwa sana, hadi kupoteza tumaini, hapo imani inaongezekaje!!! lol
Habari zenu wana CC.
Nimatumaini yangu kuwa wote mu wazima HASA,vipenzi vyangu....arabela,Mis chaga,Mamndenyi.......na wale wote wanaotambua mi ndio baunsa wa...
Habarini bandugu marafiki zangu wa ukweli
Naomba nilete malalamiko yangu hapa jamvini kwani mwenzenu
nimepotelewa na mtu wa muhimu sana kwangu mume wangu.
Aliniaga kuwa anakwenda kwenye workshop...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.